القرآن حول العالمالرئيسية
القرآن الكريم

At-Tin (The Fig) – Tafsiri ya Kiswahili na Maandishi ya Kiarabu

About Surah At-Tin (The Fig)

  • Surah 95 of 114
  • Meccan
  • 8 verses
  • Arabic name: التين

Surah At-Tin (التين), "The Fig", is a Meccan surah with 8 verses. On Quran Around The World every verse has its own page that brings together the Arabic text, the Sa'di and Jalalayn tafsir, the English meaning and related topics. Choose a verse number below.

All 8 verses: choose one for its tafsir

Surah At-Tin ( The Fig ) - Swahili

Surah At-Tin ( The Fig ) - Aya count 8

At-Tin (The Fig) ni sura ya Makka yenye aya 8. Ni sura ya 95 katika Msahafu na inaanza ukurasa wa 597 wa Msahafu wa Madina.

سورة التين مكية، عدد آياتها 8، وترتيبها 95 في المصحف، وتبدأ في الصفحة 597 من مصحف المدينة النبوية.

سورة التين بالعربية · الصفحة 597 من المصحف · تفسير السورة

95:1

بِّسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيْتُونِ ﴿١﴾

Naapa kwa tini na zaituni!

95:2

وَطُورِ سِينِينَ ﴿٢﴾

Na kwa Mlima wa Sinai!

95:3

وَهَٰذَا ٱلْبَلَدِ ٱلْأَمِينِ ﴿٣﴾

Na kwa mji huu wenye amani!

95:4

لَقَدْ خَلَقْنَا ٱلْإِنسَٰنَ فِىٓ أَحْسَنِ تَقْوِيمٍۢ ﴿٤﴾

Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.

95:5

ثُمَّ رَدَدْنَٰهُ أَسْفَلَ سَٰفِلِينَ ﴿٥﴾

Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini!

95:6

إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍۢ ﴿٦﴾

Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha.

95:7

فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعْدُ بِٱلدِّينِ ﴿٧﴾

Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo?

95:8

أَلَيْسَ ٱللَّهُ بِأَحْكَمِ ٱلْحَٰكِمِينَ ﴿٨﴾

Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote?