القرآن حول العالمالرئيسية
القرآن الكريم

As-Sharh (The Opening Forth) – Tafsiri ya Kiswahili na Maandishi ya Kiarabu

About Surah Ash-Sharh (The Relief)

  • Surah 94 of 114
  • Meccan
  • 8 verses
  • Arabic name: الشرح

Surah Ash-Sharh (الشرح), "The Relief", is a Meccan surah with 8 verses. On Quran Around The World every verse has its own page that brings together the Arabic text, the Sa'di and Jalalayn tafsir, the English meaning and related topics. Choose a verse number below.

All 8 verses: choose one for its tafsir

Surah As-Sharh ( The Opening Forth) - Swahili

Surah As-Sharh ( The Opening Forth) - Aya count 8

As-Sharh (The Opening Forth) ni sura ya Makka yenye aya 8. Ni sura ya 94 katika Msahafu na inaanza ukurasa wa 596 wa Msahafu wa Madina.

سورة الشرح مكية، عدد آياتها 8، وترتيبها 94 في المصحف، وتبدأ في الصفحة 596 من مصحف المدينة النبوية.

سورة الشرح بالعربية · الصفحة 596 من المصحف · تفسير السورة

94:1

أَلَمْ نَشْرَحْ لَكَ صَدْرَكَ ﴿١﴾

Hatukukunjulia kifua chako?

94:2

وَوَضَعْنَا عَنكَ وِزْرَكَ ﴿٢﴾

Na tukakuondolea mzigo wako,

94:3

ٱلَّذِىٓ أَنقَضَ ظَهْرَكَ ﴿٣﴾

Ulio vunja mgongo wako?

94:4

وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ ﴿٤﴾

Na tukakunyanyulia utajo wako?

94:5

فَإِنَّ مَعَ ٱلْعُسْرِ يُسْرًا ﴿٥﴾

Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi,

94:6

إِنَّ مَعَ ٱلْعُسْرِ يُسْرًۭا ﴿٦﴾

Hakika pamoja na uzito upo wepesi.

94:7

فَإِذَا فَرَغْتَ فَٱنصَبْ ﴿٧﴾

Na ukipata faragha, fanya juhudi.

94:8

وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَٱرْغَب ﴿٨﴾

Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie.